Lyrics

Cha kutumaini sina ahhh Ila damu yake bwana ahh Cha kutumaini sina Ila damu yake bwana Sina wema wakutosha Dhambi zangu kuziocha Cha kutumaini sina Ila damu yake bwana Sina wema wakutosha Dhambi zangu kuziocha Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Njia yangu iwe ndefu Yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanga Njia yangu iwe ndefu mimi Yeye hunipa wokovu Mawimbi yakinipiga Nguvu zake ndiyo nanga Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Damu yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha Damu yake na sadaka Nategemea daima Yote chini yakiisha Mwokozi atanitosha Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Nikiitwa hukumuni Rohoni nina amani Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake Nikiitwa hukumuni Rohoni nina amani mimi Nikivikwa haki yake Sina hofu mbele zake Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Kwake Yesu nasimama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama Ndiye Mwamba ni salama
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out