Lyrics

Unakaa fire, genge linadai kuziwasha oh nana yeah Nina kakitu leo, mashida leo nimeziretire oh nah nah Ati mgenge wa matumbler Nimemuacha ghetto leo wanangu sa tuko mbege Mtoto wa mama mtoto wa Diana Naskia kana moshi pia, kaite tukaleweshe Pakua, fanya kama ushapiga shoti, pakua Kama ushalewa mkomboti, mama ugali pakua Hii ni ya wajanja wajanja, songa Waambie watoto waone video Pakua, fanya kama ushapiga shoti, dengua Kama ushalewa mkomboti, shemeji leo dengua Hii ni ya wajanja wajanja, dengua Waambie watoto waone video Wanangu songea, songea Leo ni kusondeka, sondeka Nasema baby bangi, umesikiaje baby bangi tu Nilisemanga bring bangi boo Nasema baby bangi, umesikiaje baby bangi tu Nilisemanga bring bangi boo Ati mgenge wa matumbler Nimemuacha ghetto leo wanangu sa tuko mbege Mtoto wa mama mtoto wa Diana Naskia kana moshi pia, kaite tukaleweshe Pakua, fanya kama ushapiga shoti, pakua Kama ushalewa mkomboti, mama ugali pakua Hii ni ya wajanja wajanja, songa Waambie watoto waone video, pakua Pakua, fanya kama ushapiga shoti, dengua Kama ushalewa mkomboti, shemeji leo dengua Hii ni ya wajanja wajanja, dengua Waambie watoto waone video, mpaka kuche Nasema shiga, shiga shiga, zigo la teddy bear Shiga, shiga shiga, zigo la teddy bear Mogoro kako na magoti, katupa mkongojo Wanataka tukuze kwenda Juzi nikafeel muziki, kalewa mkomboti Anataka tukuze kwenda, kwa raba Ati mgenge wa matumbler Nimemuacha ghetto leo wanangu sa tupo mbege Mtoto wa mama mtoto wa Diana Naskia kana moshi pia, kaite tukaleweshe Pakua, fanya kama umepiga shoti, pakua Kama ushalewa mkomboti, mama ugali pakua Hii ni ya wajanja wajanja, songa Waambie watoto waone video, dengua Pakua, fanya kama ushapiga shoti, dengua Kama ushalewa mkomboti, shemeji leo dengua Hii ni ya wajanja wajanja, dengua Waambie watoto waone video, mpaka kuche
Writer(s): John Phillip Ouma Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out