Lyrics

Kwenye simu zimebaki picha na msg zako Huwa napitapita kwenye page zako Nasomaga sikufichi bado nina namba yako Mwenzako namiss viemoji vya kopa kopa na vya kufumba macho Huwa nakuona tu online unachat huishiwi bando n Nitext tu niwe fine ziniondoke fikira mgando Kwenye magroup ya whatsapp wee ndo bingwa wa story tena kujibu upo sharp si wa nyuma nyuma toroli Na ushapewa uadmin mset mipango Aaaa Riziki hapati mujini mshika michango Aaaa Hivi hunitaki kwanini au sina jambo Namba yako kwa simu yangu imebaki pambo Nifikiriie maana Ooooh Mwenzako hayaaniishi mawazo Oooh Najiuliza hivi nini chanzo Ooohhh Mwenzako hayaniishi mawazo Ooooh Najiuliza hivi nini chanzo Mana kizunguzungu Sijui nimwamini nani kwenye safari ya penzi langu Nimkabidhi usukani akawe dereva wangu Heeh Mana majanga nalilia kisicho changu Kwenye nyumba nilopanga nadai kodi wenzangu Pakanja pakanja anavyochezesha moyo wangu Akikohoa nabanja maradhi yake ndo yangu Anapenda navyotabika na kusikitika ye anajimwaga tu Machozi kububujika tu mi nadhalilika ananiona fyatu Ooooh Mwenzako hayaaniishi mawazo Najiuliza hivi nini chanzo Ooohhh Mwenzako hayaniishi mawazo Ooooh Najiuliza hivi nini chanzo Mana kizunguzungu Naona kizunguzungu
Writer(s): Lava Lava Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out