Lyrics

Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani Roho yanidadarika kashanitoka sheitwani Nimeumbiwa makosa mwanadamu na mimi Moyo umekunja ndita nimekumiss jamani Ngumu safari ilifanya njiani ushukie Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie Kweli mbaya halisi nawema hakosi ye Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe Chozi dibwi dibwi nachanganikiwa navilio sishikiki Niko magharibi lizamapo jua wewe upo mashariki Zawadi vipochi vijuice vipipi nazimiss chocolate Nimekoma dear nilivyo nyongea huba zako sizipati Tabibu kunikomesha umepata toto la kitanga Sababu umeichoka jeuri yangu ya kipemba Lile gubu limeniisha kabisa baby halimanga (aibu) Wananicheka wajinga rudi nakuomba Ngumu safari ilifanya njiani ushukie Ukakosa siti miliki gari lako mwenyewe Nikajiveka mashati nikajiona me ndo mie Kweli mbaya halisi na wema hakosi ye Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nisamehe Nikikaa nawaza nimuingie kwa style gani? Nimlilie niseme nnamimba kasahau t-shirt nyumbani Nashindwa kujizuia uvumilivu unanishinda kwanini Nikimpigia kusudi zake akipokea eti hellow wewe nani (iiih) Na namba kakupa nani (iiih) Mara aahh kumbe wewe unafanya issue gani (siku hiziii) Nimsanii anajua inamana hanioni (kwenye Tv) Aah ai wewe Aah ai wewe
Writer(s): Siraju Amani, Zuhura Soud Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out