Lyrics

Corona, corona, corona Nooh ooh olo lo lolo ooh Mmh hey yy eeh (Mocco) Wote tumuombe Mungu kwa hili janga Ikibidi lipite Tujihadhari na tujikinge Ili lisitufike Habari kote duniani zimesambaa Ugonjwa unaua na hauna tiba Na wengine wetu masikini hatujiwezi Mwenyezi Mungu kawe tiba Watoto wetu mashule, aah Mama zetu tu sokoni Kwenye vyombo vya usafiri makazini Tujilinde Osha mikono, aaah Epuka mikusanyiko sio ya lazima, aaah Na uonapo dalili Mapema wahi hospitali Corona, corona, corona Corona, corona, corona Corona, corona, corona Corona, corona, corona Tanzania hatuwezi tukajiweka pembeni bila kuchukua hatua 'Hatua zimeshaanza kuchukuliwa Waziri wa wizara ya afya ameshazungumza Ameshatoa tahadhari mbalimbali Ambazo tunatakiwa kuzichukua Napenda nirudie ndugu zangu Watanzania Kwamba ni vizuri sana tukaendelea Kuchukua tahadhari, kwa nguvu zote Ugonjwa huu unaua, na unaua kwa haraka sana Niwaombe ndugu zangu Watanzania Tusipuuze ungonjwa huu (Corona, corona, corona) Tusipuuze hata kidogo (Corona, corona, corona) Ni lazima tuanze kuchukua hatua (Corona, corona, corona) Za kujikinga kwa tatizo hili (Corona, corona, corona)
Writer(s): Raymond Mwakyusa Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out