Lyrics

Mr Nun Stability juu gurudumu ya tuktuk Tuma kakitu lugha kutoa kutu Kando na mipango mie siwezi shuku Long story kushikwa na kuwa bubu Juu Dudu huku nyama inauwa adi kuku We nyonga monkey mi nikiua luku Msupa yupi kasupu si dhufu ni duf Nikishuku hiyo mboga jikoni nitacook Harufu inatesa jirani take a look Fanya hizi vitu bila bother Funga duka juu dhudha si bithaa Hadi guka anazo tulia Disco matanga tangazo kulia Dandia makanga ndio fare utakulia Kiki yeah mi nasaka kiki Mahali imefika nitatuma dipix City Edgar kwa Nai Gossip club Na leo ni kulewa kwa papsi babji Cool kid anatap aki odi hizi side tuna odi Mhh leo nilidishi angalau Msupa alinikol angalau eh Curfew ilinipata angalau kejani Leo nilihepa makarao yeah Leo nilidishi angalau mhh Msupa alinikol angalau yeah Curfew ilinipata angalau kejani Leo nilihepa makarau Netflix then nare kupotea shit Kwani rada yenu huwa gani Kplc nare kupotea shit Kwani rada yenu huwa gani Nikisonga semba gas ikapotea shit Ilibidi joh nidishi uji Netflix then nare kuptea shit Kwani rada yenu huwa gani Mhh stability gurudumu ya tuktuk Tuma kakitu lugha kutoa kutu Kando na mipango mie siwezi shuku Long story kushikwa na kuwa bubu Ogopa lakini joh usiabudu ya mungu Ni machache ni makuu One plus one ninapinga ni two Kwa ndoa unless mkuu alivunjika guu Kojoa kalale kale kalale Kakale wazazi wakale na lifestyle ni kale Namdai my guy nipe ile ndai leo akikuja by Kwenda keo namdai my guy Kwani una utu vijana na kutu Aih Vijana wanachuki unashuku why Rules za michuki unashtuka why Dai Dai alkaida dai dai Survival kuiba iba dai Talanta kuimba imba Wenye wanachuki kazi kutia dumba aih Dai Dai alkaida dai dai Survival kuiiba iba dai Talanta kuimba imba Wenye wanachuki kazi kutia dumba aih Netflix then nare kupotea shit Kwani rada yenu huwa gani Kplc nare kupotea shit Kwani rada yenu huwa gani Nikisonga semba gas ikapotea shit Ilibidi joh nidishi uji Netflix then nare kuptea shit Kwani rada yenu huwa gani
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out