Lyrics

The Mafik Nikikuona moyo wangu gojogojo, Nahisi kupona oooh nachojoa chojooo Sitaki konakona nakusubiri jojo, Ohh baby shona shona shindilia mdoogo mdoogo. Nahisi naibiwaaaa oooh nooo hawana ujanja, Nachanganyikiwaaa baby slow slow safisha uwanja Nikumbate nipate joto joto, mwaga mbolea tupate katoto Gusa babaaaa, aaoh Yamoto aaah aah kimokoo. Nimekusikia ooh mama watoto, nakanyagia miksa prokoto nyonga mamaaaa ya motooo aaah kimoko What a time now, nakujaaaa Mbona hutokeiiii, nakujaaaa Nimechoka kusubiriii, nakujaaa Mbona usogeiiiii, nakujaaaa Wanauliza nimekupendea nini,Baby Tumeshibana yani shoka na mpinii baby Vile unavosindika naridhika, Homa inapoa Gesi inatiririka miminika nishatangaza ndoaaa Nikumbate nipate joto joto, mwaga mbolea tupate katoto Gusa babaaaa, aaoh Yamoto aaah aah kimokoo. Nimekusikia ooh mama watoto, nakanyagia miksa prokoto nyonga mamaaaa ya motooo aaah kimoko What a time now, nakujaaaa Mbona hutokeiiii, nakujaaaa Nimechoka kusubiriii, nakujaaa aaah Mbona usogeiiiii, nakujaaaa
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out