Music Video

ALIKIBA-SITAKI TENA(official lyric video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Lyrics

(Yogo on the Beats) Umenitesa roho ni kweli sio masihara Kutwa nahuzunika lole Nikawa kama fala (Nikawa kama fala) Nilijipa moyo, mbona nitafuna? Miezi donda ndugu kwangu sugu Kufutika never Sasa umeona, urudi tena Unaomba msamaha wa kurudiana Sasa umeona, urudi tena Unaomba msamaha wa kurudiana Nasema sitaki tena, tena Mi sitaki tena, tena Kurudi ya nyuma, tena Oh sitaki tena, tena Sasa umeona, tena Mi sitaki tena, tena Kurudi ya nyuma, tena Oh sitaki tena (Oh sitaki tena, oh sitaki tena) Kama unanishow, mapenzi toka China Tena una mengi majina, eti love designer Wanakuita designer, unavyojua kushona Unavyoringa kama nyuzi ya shanga Kutikisa nyonga Sasa umeona, urudi tena Unaomba msamaha wa kurudiana Sasa umeona, urudi tena Unaomba msamaha wa kurudiana Nasema sitaki tena, tena Mi sitaki tena, tena Kurudi ya nyuma, tena Oh sitaki tena, tena Sasa umeona, tena Mi sitaki tena, tena Kurudi ya nyuma, tena Oh sitaki tena (Oh sitaki tena, sitaki tena) Sasa umeona, urudi tena Unaomba msamaha wa kurudiana Sasa umeona, urudi tena Unaomba msamaha wa kurudiana Nasema sitaki tena, tena Mi sitaki tena, tena Kurudi ya nyuma, tena Oh sitaki tena, tena Sasa umeona, tena Mi sitaki tena, tena Kurudi ya nyuma, tena Oh sitaki tena (Oh sitaki tena, sitaki tena)
Writer(s): Omary Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out