Music Video

Alikiba - UTU (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Lyrics

Yooooo! (Yogo on beat) You're sweet like pipi mamaa I can fight I can kill someone For you Because am in danger zone (oh no) This feeling feeling that am feeling It's too much I see future, life with you is so brighter Nakupenda sana, you know that I'll die for you Ooh sweet heart, life with you is so sweeter Nakupenda sana, you know that Nakupenda sana, you know that Yeah Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tamaa nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Ohooo Siku zote maumivu maumivu Yapo kutufunza Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza Huko nyuma hukumu Hukumu zilisha nikumba Na mateso kung'ang'ania Pendo usipopendwa Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa Sasa napewa amani Mapenzi yasiyo na mipaka Ananikanda huku mabegani Ananishika na hapa Masage mgongoni Yananilevya makopa Na hakuna kipya kwenye dunia Oh my love Na ndio maana tama nazizuia Oh my love Natupa maelfu kwa mamia In this world Ila we pekee nimekuchagua I swear to God Na umebarikiwa Utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Licha ya upole na uzuri Una utu na utulivu Umebarikiwa Utu na utulivu Oooh Aaaah Namuona yeye (Analia ninapougua) Aaaah Namuona yeye (Akikesha ananiombea dua) Aaaah Namuona yeye (Analia ninapougua) Aaaah Namuona yeye (Akikesha ananiombea dua)
Writer(s): Ali Saleh Kiba Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out