Lyrics

Ni wakati Wa kuachilia mambo ya kazi Mimi huyo nishaitisha taxi Kuna kitu kwenye hewa tonight (night) Haya basi Tunaenda wapi party kwa nani Kuna drinks ama nipite maskani Katashika katanuka tonight (night) Location iko set Mzinga ziko check Madame na maboy wamekuja kuflex DJ ako fresh Mapeddy wanasell Kadi tumeshuffle na ni time ya kuplay Kula, Kula tatu Kula, Kula tatu Tukicheza game ya poker (Kula tatu) Ukilishwa tatu juu ya joker Kula macookie na makeki Tumaji usibleki Kabusu na kahug tu Baby kula Tatu (Kula Tatu) Kula, Kula Tatu Kula, Kula Tatu Kula, Kula Tatu Kula Game imefika wapi? Nani anacheza, nani anaweka kadi? Wah! It's shikaing my guy It's shikaing my guy After hii round sitajiweza walahi But the, night is young Bado form inadai And the, vibe is right alright (Alright!) Meanwhile, Mziki imeshika Na watu wanawika Ngoma za Wanavokali Location iko set Mzinga ziko check Madame na maboy wamekuja kuflex DJ ako fresh Mapeddy wanasell Kadi tumeshuffle na ni time ya ku play Kula Tatu, Kula Kula Tatu, Kula Ukicheza game ya poker (Kula tatu) Ukilishwa tatu juu ya joker Kula macookie na makeki (Kula tatu) Tumaji usibleki (Pewa tatu) Kabusu na kahug tu (Mara Tatu) Baby Kula Tatu (Kula Tatu) Kula, Kula Tatu Kula, Kula Tatu Kula, Kula Tatu Kula, Kula Tatu Eat three, Wau! Wanavokali kali kali sana Watakubali Wanavokali Watakubali Wanavokali Watakubali Wanavokali Watakubali
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out