Lyrics

Siku ya kwanza alipofanya Akasema anaumia Siku pili akaniambia Roho inauma na inachoma Siku ya tatu alipofanya Akafanya kasema anasikia raha Jaman anasikia raha Kasema anasikia raha Jaman anasikia raha Anaitaka Me namkatalia Nisipompa jamani ananililia Ananivuta eeeh Ananishikilia Anali shi shi shi Me ntampatia Mama upepo uo Upepo uo Upepo wa kisulisuli Upepo wa kivunga upepo uo Jama upepo uo upepo uo Upepo wa kisu upepo uo Upepo wa kisusu Anaitaka me namkatalia Nisipompa jamani ananililia Ananivuta eeeh Ananishikilia Anali shi shi shi Me ntampatia Njoen tucheze wote Hili goma sio langu la kwet sote Njoen turuke wote Mlio lala ndani leo tucheze wote Mi nalikata, Mi nalikata mama Uno la taratibu Mi nalivunja mama Mi nalivunja, Mi nalivunja tena Mi nalika ka ka, Mi nalikata dada Na ukinibeep nitakupigia Na ukinisema nitakununia Na ukinichuki nitakuchukia mama we Na ukilicheza nitakubambia kwa utamu we Kwa utamu, kwa mama Kwa utamu wa beat hili goma kwa utamu dada Kwa utamu kwa mbona Kwa uta ta ta, kwa utamu baba Anaitaka mi namkatalia Nisipompa jamani ananililia Ananivute ananishikilia Analishik shik shik mi nitampatia Mama upepo huo upepo huo (Upepo wa kisulisuli) Upepo wa kibunga upepo huo (Upepo wa kisulisuli) Sema upepo huo upepo huo (Upepo wa kisulisuli) Upepo wa kisuli upepo uwo (Upepo wa kisusi) Anaitaka mi namkatalia Nisipompa jamani ananililia Ananivute ananishikilia Analishik shik shik mi nitampatia Njoooweni tucheze wote Hili goma sio la kwangu, la kwetu wote Njoooweni turuke wote Mlio lala ndani leo tucheze wote
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out