Listen to Mlima Sayuni (Live) by Dr. Ipyana

Mlima Sayuni (Live)

Dr. Ipyana

Christian & Gospel

3,681 Shazams

Lyrics

Unamiliki anga Jua mwezi na Nyota Mkono wako umevifanya Pumzi yako imeivifanya Tumekuja mlima sayuni Kukusifu kukuabudu Maserafi makerubi twaungana nao Unatunza maagano Huna mwanzo huna mwisho Neno hakika wala halina hukumu Tumekuja mlima sayuni Kukusifu kukuabudu Maserafi makerubi twaungana nao Mlima ya yeyuka Mbele zako Nani kama wewe Mungu wetu (Tunakiri hakuna) Nani kama wewe Bwana Nani kama wewe (Hayupo) Nani kama wewe Bwana Nani kama wewe Mlima ya yeyuka Mbele zako Nani kama wewe Mungu wetu (Magonjwa) Magonjwa ya yeyuka Mbele zako nani kama wewe Mungu wetu Mlima ya yeyuka Mbele zako Nani kama wewe Mungu wetu Tunakiri hayupo) Nani kama wewe Bwana Nani kama wewe Madeni yeyuka Mbele zako Nani kama wewe Mungu wetu Cancer yeyuka Mbele zako Nani kama wewe Mungu wetu Kisukari cha yeyuka Mbele zako Nani kama wewe Mungu wetu Ukimwi wa yeyuka Mbele zako Nani kama wewe Mungu wetu Nani kama wewe Bwana Nani kama wewe
Writer(s): Dr. Ipyana Kibona Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out