Lyrics

Baby you can lean on my shoulder (Vicky pon Dis) Everytime you ah feel low low Baby you can call me your soldier Stataka nikuwche we solo Mapenzi matamu bana Sijazoea kubembelezwa Unavyondekeza bwana Mmmh Tupendane nkupe wana Kila Safari na Lola wakuite Na wewe baba Mmmh Ni vingi tumepitia Matusi na wivu nimejionea nikavumilia Jina na pesa nilizopata Na mimi nikakuvimbia Ila kwako sitoki Nishapata wakufa kuzikwa Mwenzangu kwa kweli siondoki Jamani kupendwa raha (Raha) Kupendwa nawewe Ali Kupendwa raha (Raha) Isiyo pitiliza Jamani kupendwa raha (Raha) Kupendwa nawewe sherii Kupendwa raha (Raha) Eey ooh Love is a beautiful thing Ukipata unaye mpenda Walaai is a wonderful thing, baby mmh Nadia my my beautiful thing ooh Kwa penzi lalo Mimi nimeloa Ndakukunda my beibii uuuuh eeeeh Forever my baby aah Tofauti zetu tuziweke kando Ukiniacha nitadedi aah, baby iyoyo Milima na mabonde aah Nimepanda nikashuka Bado mi narudi kwako aah Mi Nadi kwako baby Jamani kupendwa raha (Raha) Kupendwa nawewe sherii Kupendwa raha (Raha) Eey ooh Jamani kupendwa raha (Raha) Kupendwa nawewe Ali Kupendwa raha (Raha) Isiyo pitiliza Baby you can lean on my shoulder Everytime you ah feel low low Baby you can call me your soldier Stataka nikuwache we solo Jamani kupendwa raha (Raha) Nadia nikumbatie Baby kupendwa raha (Raha) My mama mama ma Vile menapendwa (Raha) Baby tease me, tease me baby Raha isiyo pitiliza (Vicky Pon dis)
Writer(s): Ali Watuba Etale Yusuf Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out