Listen to Kwaito (feat. Ssaru, Exray Taniua & Iphoolish) by Fathermoh

Kwaito (feat. Ssaru, Exray Taniua & Iphoolish)

Fathermoh

Hip-Hop

4,252 Shazams

Music Video

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Fathermoh
Fathermoh
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Moses Otieno
Moses Otieno
Songwriter
Victor Amani
Victor Amani
Composer
PRODUCTION & ENGINEERING
Victor Amani
Victor Amani
Producer

Lyrics

Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima Alafu we unakafinya kama sima Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba Ni my song my sing my singer Shulpa kahe Sherehe wagenge iende hadi chee Sere kusere tusimame Sisi ma mbuzi sisi mamee SSARU Kizingiri imekuja na kina Tina Kamkoba ni kafine lakini kana ririma Tumacho ting utadhani ni twa mchina Ambia jirani leo tonight tutamsinya Nimeipima naona nikikunyima We kemba mali safi si utuzimie stima Mi niko wima sijakuja na bima Wambie sina kakitu lakini niko na jina Kaa ni nyege nyegeza tamu koleza Brenda teleza wapi kwa meza Denge pendeza kiatu tembeza Dhufu ni ya pweza Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima Alafu we unakafinya kama sima Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba Ni my song my sing my singer Shulpa kahe Sherehe wagenge iende hadi chee Sere kusere tusimame Sisi ma mbuzi sisi mamee IPHOOLISH Ati koroga kwa mate Stima hakuna but lakini leo lazima ziwake Si lazima si lazima nikate Nirombose sijali kama wewe ni wake Haya tusakate twende tukaparty Ndani ya party si rahisi unipate Alinitusi jioni akanipata kwake Ndio nisake yeye ndo alifanya dem yake anitake Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima Alafu we unakafinya kama sima Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba Ni my song my sing my singer Shulpa kahe Sherehe wagenge iende hadi chee Sere kusere tusimame Sisi ma mbuzi sisi mamee EXRAY Mi nikiroroa mwambie asome title Mi hukasirika natoa rifle Ifanye sai clone na mi ni idles Kabla anisome anasoma signboard The Chain command naenda round Akifika kwake mwambie aziwrong(aii) Kwani ni kesho tunaifanya so loud Apa kila mtu anafika anabow Ukipata natumia hii vitu za dunia Napenda kumkamatia alafu ananiangalia Kihiroshima ati tuko muratina Hajui vile mi hupenda sana hapa kamutiii Ni kwaito si huchezwa kwa mama pima Alafu we unakafinya kama sima Unakaa aah unakaa mmmh unakaimba Ni my song my sing my singer Sh Sherehe wagenge iende hadi chee Sere kusere tusimame Sisi ma mbuzi sisi mamee
Writer(s): Mike Makori, Moses Otieno, Tony Kinyanjui, Victor Amani Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out