Lyrics

Oh ma, mama mama Oh ma, mama mama Oh ma, mama mama Oh ma, mama mama I could never ask for more Mama amor, nyawa aheri mama I could never ask for more Mama amor, nyawa aheri mama And there is a day Ninakuita mama (aheri mama) And there is a day Ninakuita mama (aheri mama) Najua kuna wale hawanao mama, sio kupenda kwao Najua kuna wale hawatanielewa na sio kupenda kwao Ile nyumba fathe hakumalizia, nikumalizie mama Ile nyumba fathe hakumalizia, nikumalizie mama Ile deni mathe uliomba chuo, nikumalizie mama Na ile nguo ulitamani ya jirani, nikununulie mama Mama (mama) ah mama (mama) Mama (mama) ah mama (mama) Mama (mama) ah mama (mama) Mama (mama) ah mama (mama) Oh, I remember Salome Nilipokosea ulinichapa kidogo Na nilipokosa chakula mama Ulitafuta kidogo Majirani walipotokelea mama Majirani walipotokelea mama Ata sijui mbona nalia, mbona nawaza mama Sijui mbona nalia, sijui mbona nawaza mama mama Eh, hey (Aheri mama) Mama (mama) ah mama (mama) Mama (mama) ah mama (mama) Mama (mama) ah mama (mama) Mama (mama) ah mama (mama) E-eh, mmh Mathe najua unam-miss mume wako fathe Oh pole aisee, nam-miss kama mwana wake Mama I got you, anything you want just tell me Mama I got you, anything you want just tell me Mama, mama, ah Mama I love you mama, I love you mama
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out