Music Video

Nyakati (feat. Grace Matata)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Grace Matata
Grace Matata
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Grace Matata
Grace Matata
Composer

Lyrics

Utaweza kuniangalia? Wakati hakuna chochote kilichobakia. Je utaweza kunitambua? Wakati hakuna yoyote anaenijua. Nyakati za mashaka hizi, nakukosa imani ni rahisi×4 Wakati kila ahadi yaweza vunjwa kirahisi, nahisi kila mtu anabidi ya kujilinda hofu wanahisi. Kuna uongo balaa na kukata tamaa ni rahisi sana siku hizi. Nataka kuamini ila naomba nipe ishara Najua hakuna qurrantees. Katika nyakati hizi. Ila nitaamini ukimipa ishara nabii×2
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out