Lyrics

Mmmmh mmmmh mmmh Mchana jua kali naona nyota zinawaka Siamini kama leo i baby unaniacha Vibaya ivyo unanikosea Kumbuka tuna watoto wadogo Nani atawalea Moyo mashine unatia misari na koboa au labda kuna makosa makubwa niliokufanyia Sindio wewe ulieniahidi Utabaki na mimi milele Mungu ndie shahidi Au mwenyewe umefanya makusudi Nia yako unataka uniue Ili ufaidi
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out