Lyrics

Picha linaanza nshadata Picha linaanza nshawaka Picha linaanza nshachanganyikiwa Picha linaanza nshadata Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha Kwa nyuma ananipa mineso Moyoni ananipa mateso Wa kishua ila matendo ya ghetto Mtamu na hapendi vya dezo Nakula kwa macho, 5 star girl si mchezo Emu ona, emu ona Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha Aa aah ana rangi flani ya kimanga Lugha lafudhi ya kitanga Usiombe akapita na khanga (wu!) Nyuma figusu majanga (wu!) Ana mwendo wa kung'onya Tena alivyoshona Umbo kama katuni wa kuchora Aah Singida-Dodoma, kitandani Sodoma Kiuno kama nyuki, dondora Maneno ya watu sumu yana hila Wasije leta referee ka mpira Chunga katu usije ukanzira Nkashikwa na uchizi yaani utaila (Rooh!) Mtoto yani mukidi mukide Mpaka ndani shigidi shigide Hasa aki-lick D, lick De Ye ndo mama Chibudi Chibude eh Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha X2 Too se-too sex yeah man Buzye-buzye ni amani Mungu ameumba hapa, yeah man Natamani nikaseme nae, yeah man Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae eh Mpaka sasa nimechanganyikiwa Akaja ye awe nami Mutoto yani mukidi mukide Mpaka ndani shigidi shigide Hasa aki-lick D, lick De Ye ndo mama Chibudi Chibude eh Naamini amezaliwa ili mimi niwe nae Mpaka sasa nimechanganyikiwa Akaja ye awe nami Iwe iwe iwe Iwe iwe hii ndoto Ni tamu mpaka utamu umepitiliza Akikaa na wengine wanachukiza Shika leka dige yeah man Ngoja niongeze bidii yeah man Ukute hili zali langu yeah man Nikapige masinema nae yeah man Sheaaa! Yessaya! Nakula kwa macho Kwa macho Nakula kwa macho Kwa macho Nakula kwa macho Kwa macho Ukweli mie amenikamata Kwa jinsi navyomuangalia Akinipatia nami sitamuacha
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out