Lyrics

Ooohoo Eeeeh Oohooo Mmh mmmh Uhuu huuu huu yeeh Heiyee Baby nikumbate Nikiss mdomoni Penzi letu sio siri acha watuone Kimfaa mtu chake Nishakuweka moyoni Wanoko mahasidi acha waisome Nishakupa moyo wangu Ukiondoka ntalia Mi ni wako kwenye shida kwenye raha Ukiniacha peke yangu kabisa mi ntalia Nifanye niwe wako kwako nimezama Mwenzio umenizidi mabavu Umeniita nije mwenzio Umenishika nyota angu Oh Yani we ushaniteka Kwa mahaba baby ushaniteka Baba wee Eh ushaniteka Leo mimi ushaniteka Baba wee Ushaniteka Kwa mahaba baby ushaniteka Baba wee Ushanitekaga Na mahaba mi ushanitia kamba Mwenziooo Usinifanye big gee Ukantafna ukanitema Ukaniacha kwa baridi nikabaki dilemma Me mwenzako sisikii maneno wanayosema We ndo wangu wa V.I.P mwingine sitaki tena Eti hivi nikwite nani Khabibi kipenda roho Jina gani tena napo Litakuvutia Wangu wa ubani Mi amore Mi amore Sugar honey sweety Ama nikwite dear Mwenzio umenizidi mabavu Umeniita nije mwenzio Umenishika nyota angu Oh Yani we ushaniteka Kwa mahaba baby ushaniteka Baba wee Eh ushaniteka Leo mimi ushaniteka Baba wee Ushaniteka Kwa mahaba baby ushaniteka Baba wee Ushanitekaga Na mahaba mi ushanitia kamba Mwenziooo Mwenzio umenizidi mabavu Umeniita nije mwenzio Umenishika nyota angu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out