Listen to Dai Dai (Acapella) [feat. Shekina Karen] by Fathermoh

Dai Dai (Acapella) [feat. Shekina Karen]

Fathermoh

Hip-Hop/Rap

1,782 Shazams

Lyrics

What time is it, ndo unafika home Nilikuwa kwa Beth Ati beth? Ehh Be Be Beth, kwani kuna noma Na umelewa Sijalewa Sijalewa Me sijalewa Basi niambie perfume gani unuka harufu ya chrome Wacha ma issue bora sijakuomba pesa za kumochoa Naeza doo vile nadai simeupiga wera poa Am sick of this I thought utatulia nikikuoa Nitatulia wapi si we ndo uliimba sherehe ni sheria Aki ya nani nakaa tuMejja walai siksii niliambiwa Na mamorio ule sumbua usimring najua stingo Za mechi ona nikazama kwa ii shit Cheki sasa unakunywa kuliko ngamia za isich Baby umeanza kunitusi? Eeh na huwezi kunishow We umeanza urazi na hauna ganji inaweza tosha kuniplease Kukuplease aki yanani sasa umeanza kukuwa mdeep Unajua pride ya mwanaume hushukia hapo ntakufix Utanifix dume suruali juu siku hizi we ni bitch Unaniita bitch Eeh bitch usijaribu kuniseal Hapa kwangu time ya kuingia ka umechelewa ni six Na hapa kwako siko shule baby give me some hits Na nakushow me sikudaidai zii na sikudaidai tena Time time sina minadaidai hela Kaikai you must be a damn damn fela Daidai nigga me nidie hard fela Ati daidai zii na sikudaidai tena Time time sina me nadaidai hela Oh my you must be a dumdum fela Dai dai nigga me nadie hard fela Baby boo am sorry I'll never hit you again Why you lying you always promise to be a man but you aaargh Unajua nakupendaga ukora mingi ndo uwache We unafikanga manane ama juu me ni mwanamke? But mbona sasa urudi home usiku kaumelewa Sio lazima nipige simu niombe ruhusa ndio nikate Ok ok situache vita tukuwe kama the bahatis Kifuniko ya gas ni rahisi kufungua Basi mapenzi ya kina the Wajesus famire Ndio uanze kunililia hizo vako me sidai Ya Mulamwah Hiyo sitaki Simba na Zuch Ufiche nani Basi Njugush Shekinah We simfunny Na Will Smith Hapo uko ndani Na nakushow me nakudaidai me na nakudaidai tena Ai ai nigga we ndo my John Cena Gai mummy you must be a gorgeous fela Why lie nigga you're my lifetime healer Na nakushow me nakudaidai me na nakudaidai tena Ai ai nigga we ndo my John Cena Gai mummy you must be a gorgeous fela Why lie nigga you're my lifetime healer
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out