Listen to Ongeza (feat. Lody Music) by Barnaba

Ongeza (feat. Lody Music)

Barnaba

Afro-Pop

3,602 Shazams

Lyrics

Barnaba ongeza """""Yaga """"""Aieeee """"""""Lord on this one Siunaniogesha mara tatu kwa siku Ukiongeza yote sawa Unanilisha vipilau na kuku Ukiongeza yote sawa Unavonipenda mi napata shauku Umeniweza yote sawa Muda mwingine nikipatwa na tamaa Naziweka kando Leo wacha tutoke mana,nimepata vibonus huko kazini Unataka twende wap bhana Ufukweni ama lunch za hotelin Yan mapenzi ongeza usikonde Wasiopenda wacha wanywe vidonge Penz lako nanenepa kibonge Sien maneno ohhh ohh BARNABA """"CHORUS """" penzi letu kibatari kwisha mafuta hatari wanapata namuawoo Ongeza na makachumbari nyama zizidi wali hatuwez kula nao Kama ni penzi Ongeza kama mahaba pia Kama ni penzi ongeza Kama mahaba pia """Verse"""" Na na na naaa ehhh Uwe polisi nature kwa kirungu Utakalo nakupatia Tuzidi kuomba mungu Penzi letu lizidi pepea Iyo kitu unanipatia mpnz ndo nachanganyikiwa laaziz Si tuwe maziwa mpnz sumu wakitia laaziz Kwa mapenz unenishika jicho chongo nje sionagi kabisa beyb Moyo wangu uuh krikikiki kwaa Wanaona donge wanajikwaa krikikiki kwaa Wanaona donge twadundika krikikiki kwaa Wanaona donge twadundika """""CHORUS """ the
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out