Lyrics

Nikiwa area ka bacteria kuparty huwanga sheria Na sijasema later, waiter leta beer Haujaskia instructions ni simple na clear Na watu wako single wa mingle by dear Na mbona Kienyeji huwanga tamu pia Na mbona Kwa kanisa ndo unasinzia Na mbona Ukifika club unajiskia, unadai kunywa hennesy na bill hujalipia Na mbona Unaeza spin hii dj na si lighter Ukija site in short head upigwe snipper Tear gas Kalonzo aliniwai wiper Rusha tear gas na hype no tears hapa Saa zingine si poa kuja na fujo Sometimes unakuja unatokwa ukiwa na funzo Sometimes unakuja unatokwa shawry ni kuto Sometimes ndo shida hukuja zikiwa plural Siri ni moja haribu jiji jenga rural Anza na gang maliziwa ikiwa bureal Randa mtaa na tour tupige Europe Mcqueen hii beat inasound kama euro Nikiwa area ka bacteria kuparty huwanga sheria Na sijasema later, waiter leta beer Haujaskia instructions ni simple na clear Na watu wako single wa mingle by dear Na mbona Kienyeji huwanga tamu pia Na mbona Kwa kanisa ndo unasinzia Na mbona Ukifika club unajiskia, unadai kunywa hennesy na bill hujalipia Na mbona Kumbe ga fifty mtoi huwanga mia Niko fifty fity ka anataka mia Mama mia mia ni mimi unakalia Joseph hupata faith ndo akatokwa na Maria Unakata maji nastick kwa katia Mathenge aliwaza ndo akaanza kusinzia Ukona issue biggie basi leta my dear Juu ata spoon biggie ilianza na sinia You snooze you loose me ni born chnamp I cant fucking loose Nawapenda wote bana me siwezi choose Ukichoose nichoose Na mbona first body hukuja last kwa class Na ye hutaka puff na hapendi kupass Alas, kwanza skiza verse ndo ujue niko diverse Naflow pole pole ni ka niko bypass Nikiwa area ka bacteria kuparty huwanga sheria Na sijasema later, waiter leta beer Haujaskia instructions ni simple na clear Na watu wako single wa mingle by dear Na mbona Kienyeji huwanga tamu pia Na mbona Kwa kanisa ndo unasinzia Na mbona Ukifika club unajiskia, unadai kunywa hennesy na bill hujalipia Na mbona Mbona mbona mbona Daddy Owen aliwachwa na hajui mbona Me ni msick juu ya beat na sitawahi pona Niliua track fan akaturn moarner Je naeza kuita doggy time unaboner Alidai nimkate juu nina loafer Reasons si tunadeni juu me hukuwanga loaner Me hukuwanga loader juu nikona kiboza Boza Umeshona saa ya ngori unaenda corner Unaringa juu ya msupa kumbe me ndo owner Mtoto wa baraka mimba mimi niite baller Mimi ndio baba yao father niite donar Tankerey huteka wenye makere Kweli kuna kijana hataki sugar mathere Nyerere, angekuwa bongo haingewezere Ushawahi skiza jina mbuzi ukose jina sherehe Nikiwa area ka bacteria kuparty huwanga sheria Na sijasema later, waiter leta beer Haujaskia instructions ni simple na clear Na watu wako single wa mingle by dear Na mbona Kienyeji huwanga tamu pia Na mbona Kwa kanisa ndo unasinzia Na mbona Ukifika club unajiskia, unadai kunywa hennesy na bill hujalipia Na mbona
Writer(s): Mike Makori, Joseph Getugi Nyamweya, Moses Otieno Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out