Lyrics

Ooh yeah Ooh beiby... Oooh Mmmmh Kama ni ndumba baby umenifanya kama punda Mzigo ninabeba na ninadunda naenjoy Walahi umenifunga mapigo ya moyo yananidunda Kama ni sindano umenidunga mie hoi Mmmh mmmh Sanamu lako likajengwe posta ama Niende kwenu nikatoe posa ama Nifanye vitu wanione ndondocha ama Ama nifanyeje Jamani penzi lake pombe nimelewa Nayumba nashindwa kujielewa Kama unayajua haya umenielewa Ila kama hujui ndo utachelewa Aaaa uuuuuu nakukunda your love is on fire Aaaa uuuuuu nakukunda your love is on fire Kati ya wote hao,namba moja mi nakuambia Nimepita wote hao,ooh baby Thamani yako we,thamani yako zaidi ya rupia Hawakuwezi hao ooh darling Labda niikuambie kwamba,me nyoka umenivua gamba Kwako naanzaje kutamba,sasa naanzaje baby we Navenye unanivuta,nafsi inanisuta Mi unanikoshaga na kule unanivusha Nimeweka nukta mie nimefikaga Sanamu lako likajengwe posta ama Niende kwenu nikatoe posa ama Nifanye vitu wanione ndondocha ama Ama nifanyeje Jamani penzi lake pombe nimelewa Nayumba nashindwa kujielewa Kama unayajua hayo utanielewa Ila kama hujui ndo utachelewa Aaaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire Aaaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire Aaaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire Aaaaa uuuuu nakukunda your love is on fire
Writer(s): Salmin Ismail Hoza Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out