Music Video

Nategea (feat. Sanaipei Tande)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Otieno Owuor
Otieno Owuor
Songwriter

Lyrics

Mi sijui wee uliko, sijui wee ni nani Lakini mi nishakuwaza, moyoni wewe upo nami Na marafiki hawashiki, eti mi ni wazimu Lakini mi nishakuhisi moyoni mchana na usiku tabibu Manzi basi harakisha kiasi Nakutegea wewe uwe Nami Najitolea kungojea, mami Toka moyoni, ingia duniani Mpenzi nategea Kama mvua, najua utatokea Kama mvua Mpenzi nategea Kama mvua, najua utatokea Kama mvua Nishakuona, Nishakuona mama Nitakuoa, nitakuoa mamaa Mi sijui ni malipo ya zote zangu dhambi Hakika haya ni mateso, mateso ya kinafsi Subira heri mpatanisho tusiwe na ulafi Mapenzi kwetu isikose thamani, Mto wa jangwani jamani Haya basi harakisha kiasi, nategea uwe nami Nakungojea Toka moyoni ingia duniani Mpenzi nategea Kama mvua, najua utatokea Kama mvua Mpenzi nategea Kama mvua, najua utatokea Kama mvua Uuuh Nishakuona, Nishakuona mamaa (Nishakuona babaa) Nitakuoa, nitakuoa mamaa Kama mvua yeah yeah yeah yeah Kama mvua yeah yeah yeah Kama mvua yeah yeah yeah yeah Kama mvua yeah yeah yeah
Writer(s): Otieno Owuor Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out