Listen to Miss Buza (feat. Dulla Makabila) by Rayvanny

Miss Buza (feat. Dulla Makabila)

Rayvanny

Afro-Pop

15,871 Shazams

Music Video

Rayvanny ft.Dulla makabila - MISS BUZA (official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Dulla Makabila
Dulla Makabila
Vocals
Rayvanny
Rayvanny
Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Rayvanny
Rayvanny
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Kenny
Kenny
Producer
Kidogodogo
Kidogodogo
Producer

Lyrics

Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza Rangi yake ya vidole kama ndizi za kuchoma Harufu yake ya wigi unapata Corona Hee kikipigwa kigodoro lazima utamuona Shughuli hajaalikwa, kijola ka shashola Ila chumbani si gogo mwali Mbuzi kagoma kifo cha mende chali Uvunguni sakafu juu ya dari Ua mtoto anaupaka asali mama Akiona simu anapita anapita nayo Eh! Akiona walleti anapita nayo Eh! Akiona dundo kali anapita nayo Yaani akiona begi kali anapita nayo Ana msitu kwapani dala kifuani Kwenye dala dala anapita dirishani Ghetto anazima taa, vipele mapajani Ana dera jipya, chupi la zamani Ah yo yo yo Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza Huyo miss buza, mama miss Buza Jamani miss buza, nampenda miss Buza Haya kelele ya kwanza kwa missi yake, weh Kelele ya pili kwa missi yake, weh, weh Kelele ya tatu kwa missi yake Weh, weh, weh weh Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua Mtoto anachu chu, anachuchumia Ana chu chu, mpaka nguo anavua Akivua shati muache, muache Ameamua muache, muache Akivua shati muache, muache Ameamua muache, muache Katikati nataka aloshindikana Katikati nataka chura nyelana Mwanangu katikati nataka aloshindikana Kati kati nataka chura nyelana Basi twende tunaenda kushoto Wanangu kushoto, aahuni kushoto, masisela Turudi ulia, wanangu kulia Masela kulia, wanangu Basi twende tunaenda kushoto Eh kushoto, wanangu kushoto, yii kushoto Basi twende tunaenda kulia Wanangu kulia, ati, ati... Basi twende teremka We mwanagu teremka Teremka shika mabega teremka Bwana teremka, masisela teremka Teremka shika kiuno teremka We mwanangu teremka, mama teremka Teremka shika magoti teremka Basi twende Nionyeshe unavyochumaga mchicha tembele Nionyeshe unavyochumaga mchicha Mama nioneshe unavyochumaga mchicha tembele Nionyeshe unavyochumaga mchicha Oya twende kama unalo tingisha, we mama tingisha Tuone tingisha we dada tingisha Kama unalo tingisha, we mama tingisha Tuone tingisha, we dada tingisha Eyooo Kenny Basi twende shosho, we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo We mwanangu shosho, we nioneshe sho Style gani unacheza kidalipo Basi tuende kibaikoko we mtoto Miguu juu ning'inia kama popo Kibaikoko we mtoto Miguu juu ning'inia kama popo Unakaa chini unakwenda unakwenda unakwenda Shika magoti unashuka unashuka unashuka Na ka chini unakwendaa unakwendaa unakwendaa Shika magoti unashuka unashuka unashuka Basi twende timua vumbi timua, shemeji atafua Timua vumbi timua, shemeji atafua Bwana timua vumbi, timua shemeji atafua Timua tena timua, shemeji atafua Wee Juma Lokole number 1 Kida mchoksi number 1 Hahaha Idriss wa kitaa number 1 Weeee Aristote Wapi Uncle Shamte ongeza ah mama Dangote Mwambie akatafte na vyumba havipangishwi Eeh kidogo dogo msalimie Kenny Tony Vumwe, Ricardo Momo K Imani, Soni Weka Eeh mwanangu Ommy Crazy Ommy Kichaa kini kazaa HK HK wapi Wanjala? Lengo Dangote nipelee Ali mwa Kimwana Papichulo weee Eeh baba Benami, baba Benami aiii Ah wote, ah wote RJ the Dj, all day Wananiitaga Dulla Makabila yaani King of Singeli We Esma Platnumz anakusalimia mkubwa Fella Waambie wasitume wavulana kwenye shughli za wanaume Mmmh Dulla jamani tucharaze kitu gani? Haijaisha tu, kama singeli ndo kurushana hivi Mi siwezi jamani inatosha (Lazer on the Mix)
Writer(s): Donald Rwebangira Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out