Lyrics

Nasema asante, nasema asante Jana yangu naijua, kesho yangu si ijui Kuna wengi waliopoteza maisha Ila bado mimi niko hapa Kila siku yangu ni zawadi Nakushukuru Baba Ntakushukuru Juma Tatu, hadi Juma Pili Baba nasema asante Hii dunia sio nyumbani, ipo siku tutaondoka Jamani niacheni, leo ni siku yangu mimi Leo ni siku yangu, aliyoniumbia Mungu Asante, ewe Mungu wangu Mambo hayachikaswa, nina shukuru Biashara yako ikiyumbayumba, nitashukuru Kuna waliokuwa na uwezo zaidi yangu Ila wamesha tangulia Siku ya leo ni zawadi, ooh Ya kesho hujuwa Mola Hii dunia sio nyumbani, ipo siku tutaondoka Jamani niacheni, leo ni siku yangu mimi Leo ni siku yangu, aliyoniumbia Mungu Asante, ewe Mungu wangu Kwa neema, naishi kwa neema Yako Kwa neema, naishi kwa neema Yako Kwa neema, naishi kwa neema Yako Kwa neema, naishi kwa neema Yako
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out