Music Video

Thee Exit Band - Lala
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Thee Exit Band
Thee Exit Band
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Maxwell Otieno Omondi
Maxwell Otieno Omondi
Songwriter
Kelvin Athumani Yalibi
Kelvin Athumani Yalibi
Songwriter
Meltas Javan Juma
Meltas Javan Juma
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Eyoo Sean
Eyoo Sean
Producer

Lyrics

Pepo pepo wanakusema kama upepo Tangu utoto Tumepatana umerudi soko Kwa mwangaza we ndo nyota waniongoza aa aaah My dear wapendeza na sio chocha Aaah aaah Mwanzo unadatisha Kifupi umeniziba unatatisha Unavyokwenda basi rudi wamelalisha Kata kiuno ukikatisha Wanapenda unavyo chachisha Basi kwendoka wanamazisha Na taratibu uki shukisha Macho kama yavuta shisha Yaani kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Verse 2 Leo tumekuja sababisha Harakisha usipite kwa dirisha Mgongo unapinda unaniita Hivo hivo tutapost insta Nasema leo tuta trend paka twitter Na facebook pia tutatisha Na nguo pia mama nitakuvisha Aaah aaah aaah I like the way you wine wine Girl uko nyuma uko fine fine Uko nyuma umebeba nine by nine You are pretty You are sweet like a fine wine Shake your waist Shake your bumbum Hiyo pipii ndio Tam tam Chorus Yaani kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Verse 3 Ah unachachisha na flavour ya shisha Nilikucheki insta chali amekushika Nashindwa mbona mbona ulinificha Ama ni juu studio nilikunyima feature Na zile picha tulizipiga lini Unajifanya jogoo tangu mjini Uko maji ama ukona majini Tangu lini me nikafuata dini Nisaremia ndo tukule tu hamsini Na sina nia kufanya tendo la kuzini Story zako zimeshika kaska kusini Chorus Yani kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa Kama ume Lala La la la la laaa
Writer(s): Kelvin Athumani Yalibi, Maxwell Otieno Omondi, Meltas Javan Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out