Music Video

Bure Kabisa by Boondocks Gang
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Boondocks Gang
Boondocks Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Tony Kinyanjui
Tony Kinyanjui
Songwriter
Francis Macharia
Francis Macharia
Songwriter
Edward Kimachu Irungu
Edward Kimachu Irungu
Songwriter

Lyrics

Nimeacha pombe kutoka leo na ni kwa counter Nimeacha pombe kutoka leo na ni kwa counter Nikikunywa pombe wananiita alcoholic Nikikunywa fanta hawaniitangi fantastic Bure kabisa (bure kabisa) Aki walai nimeacha pombe kutoka leo (Shenzi, bure kabisa) Aki walai nimeacha pombe kabisa (toka apa shenzi) Bure kabisa (bure kabisa) Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena (Shenzi, bure kabisa) Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo (Toka apa shenzi) Nikipata pombe, endelea Kaa ni pombe naogelea Nikipata bet, naekelea Kaa ni Manchester nakojolea Mmh, womanizer napenda ku-e ecolizer Alafu niki-e fertiser Alafu ngware morning kazi niku-legaliser Teka, fika kamefika Hiccup mi' naskia ku-hiccup Hiccup, sai naskia ameteka Si kila mtu anateta apambane kama (aaaaah) Bure kabisa (bure kabisa) Aki walai nimeacha pombe kutoka leo Bure kabisa bure (kabisa) Aki walai nimeacha pombe kabisa staki Bure kabisa (bure kabisa) Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena Bure kabisa Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo sitawai Leo ukijinyce tuko keja Ukizisundanga ukicheka Kismart ndio weather Ka-jackpot si kaa uweza Uki-peach, uko sure aki nguna uta peach Niko vako Roma na mdish Eei eei nitam-miss Ka ni Mayday nitai-reach Uki say say aki utabreach Ngware, Serengeti, mamoshi nikuseti Leo niko selfie Bure kabisa (bure kabisa) Aki walai nimeacha pombe kutoka leo (Shenzi, bure kabisa) Aki walai nimeacha pombe kabisa (toka apa shenzi) Bure kabisa (bure kabisa) Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena (Shenzi, bure kabisa) Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo (Toka apa shenzi) yea The only inaeza niingiza kwa mtaro nimesema ni pombe Na sio kutu, juu, ni pombe The only thing inaeza fanya niingie kwa mtaro, ni pombe And I repeat ni pombe Sio kutu Na by the way pombe ya siku hizi haileweshi Juu akuna curfew Uko na dem na sujui mbona hunyonyeshi Nilipata fame nika-switch marashi Nime-study game sio lazima may kwa kati Nyi mko lane sijui mbona hampigi densi Hahahhaaha ooee Wikendi ikifika niko na Marya Ni pombe nifanye nichomaya Na ni pombe itafanya nteke mbaya So calm pia (ucheze) Bure kabisa (bure kabisa) Aki walai nimeacha pombe kutoka leo (Shenzi, bure kabisa) Aki walai nimeacha pombe kabisa (toka apa shenzi) Bure kabisa (bure kabisa) Kutoka leo sitawai kunywa pombe tena (Shenzi, bure kabisa) Nimeacha pombe na nimeapa kutoka leo sitawai (Toka apa shenzi)
Writer(s): Tony Kinyanjui, Francis Macharia, Edward Kimachu Irungu Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out