Lyrics

Rangi zipo nyingi (Dunianii...) Tena zote ni rangi nzuri (Zapendezaaa) Ipo nyeupe nyekundu na njano (Zote) Za kupendeza sana Tena nyeusi na rangi ya chenza Kijani na kadharika Jaapo zote nzuri (Zapendezaaa) Sio zote zaweza faa Kwa wakati mmoja Mtu mmoja kwa mapenzi yake Ataichagua rangi furani Atakayojisikia ya mpendeza Kuliko zile rangi nyingine Chunga usijifanye mjanja Kwa machaguzi yake Ukisema rangi ni rangi Yoyote yaweza faa Hivyo hivyo mwenyezi Mungu Kaitenga siku ya saba Iwe ni sabato kwake Pia kwa watu wake Kwann nijifanye mjanja Nikisema siku ni siku Ndio siku zote ni nzuri Lakini ya saba bora kwake Nitawafundishaa Watu kupumzika Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu Nitawakumbushaa Wote kupumzikaa Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu Nitawafundishaa Watu kupumzika Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu Nitawakumbushaa Wote kupumzikaa Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu Mataifa yetu mbalimbali Yanazo bendera zake nzuri Wote twaziheshimu Zipo rangi zilizochaguliwa Kuzipamba hizo bendera Nyengine nyeusi na kijana Nyekundu na kadhalika Jee itakuwaje siku moja Mtu mmoja kujifanya mjanja Na kuzibadili rangi Pale palipo rangi ya kijani Yeye akaweka nyekundu Tena palipo na njano Yeye akaweka nyeupe Ndiivyo akasema rangi ni rangi Hiyo nayo ni bendera tosha Tafakali sanaa Bila shaka mtu kama huyo Atahukumiwaaa Kwa kutoliheshimu taifa lile Pia na bendera yake Hivyo hivyo atahukumiwa Mtu ajifanyaye mjanja Kwa kusema siku ni siku Ya saba sio bora sana Hivyo hivyo mwenyezi mungu Kaitenga siku ya saba Iwe ni sabato kwake Pia kwa watu wakee Kwanini nijifanye mjanja Nikisema siku ni siku Ndio siku zote ni nzuri Lakini ya saba bora kwake Nitawafundishaa Watu kupumzika Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu Nitawakumbushaa Wote kupumzikaa Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu Nitawafundishaa Watu kupumzika Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu Nitawakumbushaa Wote kupumzikaa Siku ya sabato Kama alivyotuagiza Mungu ...END
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out