Lyrics

Nahisi na gundu bado kwangu hayajawa sawa Sawa sawa hayajawa sawa Sina huba huru sielewi kunguni yupi chawa Nahitaji vitabu nipate ufanunuo Labda nitaelewa maana ya mapenzi Mapenzi naipata gadhabu maumivu kwa mkupuo Sielewi nisome hata tenzi hata tenzi Nikisema niyasuse nitakahidi ninaempenda chaukucha wanamfahidi Nikimsusa wanamkula wanamfaidi minalia Jasho lakijoto kulala baridi Kukaza na moyo najitahidi Ila nashindwa hata sina budi Sielewi nichague kulia kushoto niende wapi Sielewi mapenzi yamenizidi nahitaji funzo niache makapi Sielewi moyo vidonda donda tele nashindwa hema Sielewi niseme nini kingine mimi siwezi sema Nashindwa kulala sababu niwewe mapenzi Mombasa nalamu nakuja kusaka hilo penzi Bakanja bakanja moyo umeuchezesha vanga Kuranda kuranda vugulu njiani babaa Zile zavaranda sahivi kilio pamba Nikiziona picha zako nahisi kufua banjaa Nikisema niyasuse nitakahidi Ninaempenda chaukucha wanamfahidi Nikimsusa wanamkula wanamfaidi minalia Jasho lakijoto kulala baridi Kukaza na moyo najitahidi Ila nashindwa hata sina budi Sielewi nichague kulia kushoto niende wapi Sielewi mapenzi yamenizidi nahitaji funzo niache makapi Sielewi moyo vidonda donda tele nashindwa hema Sielewi niseme nini kingine mimi siwezi sema
Writer(s): Akeelah Akeelah Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out