Lyrics

Heee iiyee Hmmm Mmmmh Baby Mama My sweet potato Nimezama Mpenzi Niokote Sukari Yangu Niwee Nifanye Niwe Jiwee Nami Nikulindee My Number one Niwe Unichanganye Unisakate Unifumbate Kama Mtoto Niku'ngate My Leile Nikulinde My Baebe eeehmeee You are My Muda muda mudaa You are My sugar sugar sugar babe eee Kilimanjaro virunga nataka tufike ni enjoy nawe Valentine Bubembe Baraka tufike tu enjoy Valentine My honeeey acha tu enjoy Valentine Siku ya Leo niyangu minawee Valentine Weka mziki kidogo nicheze nawee Valentine Furah zamoyo zibaki sawa sawa Valentine Acha tuvuke ngamboo Andah iyo mambo Chakula chamoyo akuna ugonjwa usio nadawa ee Nakupa moyo vangu tunza mchawi mganga ni wewe Vineno vikali sitokupa anaye deka kwangu ni wewe Mchezo wa Christian Ronaldo uwa ufunga sawa sawa Kucheza Mziki wapanado rumba zakwetu ndani sawa You are My muda muda mudaa You are My sugar sugar sugar babe eee Kilimanjaro virunga nataka tufike ni enjoy nawe Valentine Bubembe Baraka tufike tu enjoy Valentine My honeeey acha tu enjoy Valentine Siku ya Leo niyangu minawee Valentine Weka mziki kidogo nicheze nawee Valentine Furah zamoyo zibaki sawa sawa Valentine Kubebe acha niku bebe Kubebe Mugongo niku bebe Niku bebe acha niku bebe My lovy lovy mimi niku bebe Tuombe na duwaa Mungu ashushe nvuwaa Mauwa ya chanuwa Shambani mauwaa Mchezo wa Christian Ronaldo uwa ufunga sawa sawa Kucheza Mziki wapanado rumba zakwetu ndani sawa You are My muda muda mudaa You are My sugar sugar sugar babe eee Kilimanjaro virunga nataka tufike ni enjoy nawe Valentine Bubembe Baraka tufike tu enjoy Valentine My honeeey acha tu enjoy Valentine Siku ya Leo niyangu minawee Valentine
Writer(s): Heripoza Overboy Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out