Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Cherry
Cherry
Performer
Neema Swai (Cherry)
Neema Swai (Cherry)
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Patrick Alsina
Patrick Alsina
Songwriter
Asagwile Mwasongwe
Asagwile Mwasongwe
Songwriter
Leonard Sunday
Leonard Sunday
Songwriter
Kimambo Beats
Kimambo Beats
Arranger
PRODUCTION & ENGINEERING
Kimambo Beats
Kimambo Beats
Producer

Lyrics

Moyo umechoka kuteseka (NO BHANA HAPANA) Marafiki mapenzi visa yeah Mood yangu ya kusaka pesa Sina habari nao sitaki kuboreka (NO BHANA HAPANA) Tarariraaa nakudelete uende Sitaki pressure kuteseka daily Tarariraaa nakudelete uende Sitaki pressure kuteseka daily Najipa nafasi (ole, ole, ole) Mawazo sitaki (ole, ole, ole) Kwani sh ngapi (ole, ole, ole) Najipa nafasi (ole, ole ole) Nawa kata, kata, kata kata kaah ta Acha niupoze moyo Nimwagilie moyo Niuridhishe moyo Nshachoka hizo ndombolo Wabaya watu, kucheza rafu Sitaki katu me nawakataa tu (NO BHANA HAPANA) Mambo ya watu, issue za watu Weka kwa kapu hapa ku party tu (OH LEO LEO) Najipa nafasi (ole, ole, ole) Mawazo sitaki (ole, ole, ole) Kwani sh ngapi (ole, ole, ole) Najipa nafasi (ole, ole ole) Nawa kataa, kata, kata kata kaah ta
Writer(s): Asagwile Mwasongwe, Leonard Sunday, Patrick Alsina Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out