Music Video

Brotha Bon - Uinuliwe Yahweh (Official Lyrics Audio)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

COMPOSITION & LYRICS
Bonheur Muhuzi
Bonheur Muhuzi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lomude Duku
Lomude Duku
Producer
Dan Pascal
Dan Pascal
Engineer

Lyrics

Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana wa ma Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana wa ma Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana wa ma Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana Uliumba mbingu na nchi kwa fahari zako Bwana Uliumba mbingu na nchi kwa fahari zako Bwana aah Mito Milima Mabonde Wanyama kwa neno lako Ardhi Jua Mwenzi Na nyota kwa neno lako Uka mfanya mwanadamu Kwa mfano wako baba Uka mfanya mwanadamu Kwa mikono yako Yahweh Ili akuinuwe Ili akuabudu Ili akusujudu Ili akuinuwe eee eeh Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana wa ma Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana wa ma Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana Ni amkapo kila siku asubuhi Si kwa nguvu zangu Adonai Bali neema yako Imeniwezesha kuiona siku nyingine eeh Ndege angani waimba Na kushangilia jina lako Mimi ni nani nisipo imba sifa zako Bwana Makerubi Maserafi waimba nakushangilia Yahweh Mimi ni nani nisipo imba sifa zako Bwana Yeyeeh Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana wa ma Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana wa ma Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana Uinuliwe Yahweh ee eeh Uinuliwe Bwana
Writer(s): Bonheur Muhuzi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out