Lyrics

Kupendwa raha bwana Hata mikunjo kunjo kwa sura imeisha Natabasamu lanivisha ujana Kwa raha ya penzi bwana Nakuonaga kama maji ya bahari kwa mwili Kuondoazo hali na shari kwa penzi eeh Mi nimekuwa mwepesi kwako Kusema nakupenda wewe Kwa hapo zamani hili neno kusema Ni mpaka niwe high high high Nishike mkono Nivushe ng'ambo nyingine Nivushe o, nishike o Tufike o pamoja Nishike mkono Tuvuke ng'ambo nyingine Nivushe o, tuvuke o Tufike pamoja Nishike mkono nikushike twende kando Nikukoki kijeshi we si komando Bonge la penzi bonge la bango Siku mzima hewani tunamaliza bando Kwako niko huru sijihami, niko huru Unanipa raha Bongo naiona Chicago Unafanya wanga watulize kipato Mahaba mengi kama mvua inayochuruza Nishike mwili unajua kunibburudisha Bila ya Mungu kwenye jua tungekuruzika Leo tunatambua nani wa kushurudisha Nishike mkono Nivushe ng'ambo nyingine Nivushe o, nishike o Tufike o pamoja Nishike mkono Tuvuke ng'ambo nyingine Nivushe o, tuvuke o Tufike pamoja Kupendwa raha bwana Na nguo nikivaa zakaa kwa mwili Na raha sana usoni na rohoni Kwa lako penzi bwana siku zaenda kasi Na wala hazigandi Dhamani ya moyo ni si ya fukoni Kwako niko huru sijihami, niko huru Nimependa nawe umependa twaenda mbali Kwako niko huru sijihami, niko huru Nishike mkono Nivushe ng'ambo nyingine Nivushe o, nishike o Tufike o pamoja Nishike mkono Tuvuke ng'ambo nyingine Nivushe o, tuvuke o Tufike pamoja
Writer(s): Judith Wambura Mbibo Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out