Lyrics

Yea yea (They call me Arrow Bwoy) (Nadia) (Vicki Pon Dis) Macho nimelegeza mdomo nauma kwa upendo Mwili umeniweza na ukitaka nakupa scandal Bila vita papi mi Corazon Your mamacita papi mi amor My Bonita sweetie senorita Bila vita ukiita naitika Umenipenda nashindwa kueleza Nimependwa ona nadekezwa Dawa nipe dawa Dawa yako dawa Dawa nipe dawa Dawa yako dawa Mh dawa yako mi inanifanya niwe chizi Dawa yako ndio inanitoa baridi Niimbe kama do re me Simple kama abc Curriculum ni ya CBC Mambo ya ma ex weka tbt Niimbe kama do re me (do re me) Simple kama ABC Curriculum ni ya CBC (cbc) Mambo ya ma ex weka tbt (tbt) Napenda unavyo pepeta pepeta ah Paja nimelegeza legeza ah Oh baby pepeta pepeta ah (Ah ah ah) Unanipepeta ah paja nimelegeza ah Uh baby pepeta ah ah ah Umenipenda nashindwa kueleza Nimependwa ona nadekezwa Dawa nipe dawa Dawa yako dawa Dawa nipe dawa Dawa yako dawa Umenipenda nashindwa kueleza Nimependwa ona nadekezwa Unanipepeta ah Paja nimelegeza ah Uh baby pepeta ah (Aye) ah ah ah Umenipenda nashindwa kueleza Nimependwa ona nadekezwa Umenipenda nashindwa kueleza Nimependwa ona nadekezwa
Writer(s): Faith Mukami Muendo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out