Top Songs By Lilmaina
Similar Songs
Credits
COMPOSITION & LYRICS
mtap3li
Songwriter
Jeremy Maina
Songwriter
Lyrics
(Wine and kotch, gyal)
(Wine and kotch)
Cheki, cheki, ah
Lete kinare, nikusetie ki fwaka
Lete kinare, nikusetie ki ngwaka
Lete kinare, nikusetie ki fwaka
Na zitashika sana, utalia zimewaka
Lete kinare, nikusetie ki fwaka
Lete kinare, nikusetie ki ngwaka
Lete kinare, nikusetie ki fwaka
Na zitashika sana, utalia zimewaka
Kinare, nikusetie ki fwaka
Nipate 2010, venye kume waka waka
Mabare, ukianza za ufala
Na buda unashtuka mbaka una s-stammer
Nani hapa akona lighter, joh?
Mechi zangu nikama El Clasico
Real Madrid ama Barca niizo, joh
Mras na ki jaba, nimegeuka criminal
Nipatee Rubis, si Erori ni liqour store?
Sunda wada ndio zishike even more
Leta kashata, stabilizer ndio hivo, joh
Alafu hapo kando mnakohoa, aii nini, bro?
Lete kinare, nikusetie ki fwaka
Lete kinare, nikusetie ki ngwaka
Leta kinare, nikusetie ki fwaka
Na zikishika sana, utalia zimewaka
Lete kinare, nikusetie ki fwaka
Lete kinare, nikusetie ki ngwaka
Leta kinare, nikusetie ki fwaka
Na zitashika sana, utalia zimewaka
Ah, Mtape-Mtapeli na bado
Ah, wacha haraka
Cheki ukikuja hapa, wewe ni takataka
Yoh! Unabonga vile unataka
Alafu ukicheka hapa, utagandwa
Cheki masura zimebonda
Alafu hakuna mwenye akona ego
Na bado tumetoka huko Runda
Cheki zimerunda, yoh
Niko daily, kama ukedi
Nafanya, warembo wote mtaani wana steady
Waki steady, nawalaza kwenye bedi
Kwenye bedi, nawapiga mijeledi
Machali wao, nawapiga ma heady
So sick in the-, nika skedy
Meditation, nipate kwa pedi
Already na steady, macho 'ready zimefedi
Lete kinare, nikusetie ki wa-
Lete kinare, nikusetie ki fwa-
Lete kinare, nikusetie ki wa-
Leta kinare, nikusetie ki fwaka
Leta kinare, nikusetie ki ngwaka
Leta kinare, nikusetie ki fwaka
Na zitashika sana, utalia zimewaka
Leta kinare, nikusetie ki wa-
Leta kinare, nikusetie ki fwa-
Leta kinare, nikusetie ki wa-
Leta kinare, nikusetie ki fwa-
Writer(s): Jeremy Maina
Lyrics powered by www.musixmatch.com