Lyrics

Zombie sikutaji humu eeh Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Ishuuu Chino wanaman Chino wanaman Chino wanaman Hello yeweiih Ishuu Ngosha wanaman Hello Juzi nilikuona town Umependeza umetupia vitu vya brow Sijui ni loui Ile au Gucci Aise ile buti na grown imefanya mkushi nivae suti Usinishushe nikiwa around Na nikikupa sound usinitusi Kwako mie I'm lost and found sio uzushi usinipushi Niongee maujuzi maufundi Nikugande unione nuksi, unione mpuuzi niwe down Na ninakustalk hadi tiktok Unaweza trendisha ngoma ikawa hit song Unanivutia kama ringtone Kwa uzuri unawapiga bao kama ping pong Na kwa uzuri upo peke yako Unanifanya nizidishe ku hustle Silali ninalala macho Ninakuita Mali kubali hakuna zaidi yako Mariarosa, usije nitosa We nibariki nikupeleke kwa mwamposa Mariarosa usije nitosa We nibariki nikupeleke kwa mwamposa Ishuu Achia shishaa Aichukuchaa Si mmemuona? mmemuona Kama kashushwa Achia shishaa Aichukuchaa Si mmemuona? mmemuona Eti kasusa Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Ishuu Na ninakustalk hadi tiktok Unaweza trendisha ngoma ikawa hit song Unanivutia kama ringtone Kwa uzuri unawapiga bao kama ping pong Na kwa uzuri upo peke yako Unanifanya nizidishe ku hustle Silali ninalala macho Nakuita mali kubali hakuna zaidi yako Ngosha wanaman Mariarosa usije nitosa We nibariki nikupeleke kwa mwamposa Mariarosa usije nitosa We nibariki nikupeleke kwa mwamposa Ishuuu Achia shishaa Aichukuchaa Si mmemuona? Mmemuona Kama kashushwa Achia shishaa Aichukuchaa Si mmemuona? Mmemuona Eti kasusaa Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Kibabe kibabe Kibabe basi force kibabe Ishuuuu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out