Lyrics

Konde boy Aaah noo this is serious The godem killer prince dullysykes brodamen Handsome tude Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Singida Dodoma (mamamama) Mtwara na Kigoma (mamamama) Singida Dodoma (mamamama) Mtwara na Kigoma (mamamama) Pande za nyumbani wanajuaga Babe ni nani akipita anatingisha Wangu toka zamani kanzu tobo Kama zidane chenga nyingi nitafungisha Kanawaka gizani nakapakata mpaka Mezani kotekote napigisha Baby whatagwan katoto ketu Kako njiani uhakika miezi Tisa Woookey, Ohoahe Wakiniita buzi Nichune tena ringa kidogo Ohoahe wapiga miruzi wanune Ongeza mbwembwe mikogo Ohoahe Wakiniita buzi Nichune tena ringa kidogo Ohoahe wapiga miruzi wanune Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Singida Dodoma (mamamama) Mtwara na Kigoma (mamamama) Singida Dodoma (mamamama) Mtwara na Kigoma (mamamama) Smart girl, Nyuka upendeze vunja kabati ayayee Inuka na ucheze wakuone wachat ayayee Lala kifuani baby deka Usikie moyo wangu vile unavyotweta Nikikupa mambo Fulani unacheka Kasauti ka chumbani unabweka Lala kifuani baby deka Usikie moyo wangu vile unavyotweta Nikikupa mambo Fulani unacheka Kasauti ka chumbani unabweka So let me say, Ohoahe Wakiniita buzi Nichune tena ringa kidogo Ohoahe wapiga miruzi wanune Ongeza mbwembwe mikogo Ohoahe Wakiniita buzi Nichune tena ringa kidogo Ohoahe wapiga miruzi wanune Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Kamependeza kupitiliza Wanasemaga kadamshi Akicheza ananimaliza Hadi nang'ata matamshi Singida Dodoma (mamamama) Mtwara na Kigoma (mamamama) Singida Dodoma (mamamama) Mtwara na Kigoma (mamamama) Oh my God its better son
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out