Music Video

Roria by Team Veterans & Swat Matire
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Team Veterans
Team Veterans
Performer
Swat Matire
Swat Matire
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Boniface Mwangi
Boniface Mwangi
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Magix Enga
Magix Enga
Producer

Lyrics

Leo nime panda nganya Leo nime nyanya na mambanga Tunaroria leo tunaroria Tunawakunywa kama kuwa kunywa Niko gaje kuliko lake Victorioa Nama gyals kwa riang hatuezi kosa Tunaroria leo tuna roria Tunawakunywa kama kuwa kunywa Leo ni leo leo design na inawaka leo Akuna rush mbio machaji au sio Kuwa sip kuwa drink kuwanywaku Mambichwa zina wambataka soul hatusembetell Na bado riba zetu tukizoza wata tembetell Alafu sii huu zii seti na mafediii kaa kartel Ndakala niko inde joh kwa lebo Topatings Juu tume pndisha lebo Wapi kumezima tufike tuwashe hivii Bado tunaroria tuko Eazy joh kwa jiji Na vako zaki batty hatupendagi utazidii Ma gyals wako inadi pondi house hii ni waparty Niko gaje ma wabling mavitu tings mashadling Kujisend ku searching sii nima yout wi run it East eeeh eazyy Is a banger ting magix enga kill di scene East side eeeh Eazy ting Is a banger hit ting magix enga kill di scene Leo nimepanda nganya Leo nimenyanya na mambanga Tunaroria leo tunaroria Tunawakunywa kama kawa kuwa kunywa Niko gaje kuliko Lake Victoria Nama gyals kwa riang hatuezi kosa Tunaroria leo tunaroria Tunawakunywa kama kawa kuwa kunywa Vitu illegal huomosha msee faster Kuomoka si rahisi usiwork harder Work smart hakuna shortcut zilishatingwa Zimwa ukijiskia bingwa limwa ukijiskia pingwa Miwa kwako itakuwa supper We si drug dealer na uko maziwa Ama we ni mafia we ndio unawakanga Si umix jik na magadi usipate gondo ka we mtoto Nilikuwa na ngovo nikiwa ndonyo Usipate gondo ka we mtoto Nilikuwa na ngovo nikiwa ndonyo Luku diriba nama banger tuki kill kwa hizi scene Hatu chat chat Sanaa huku action ndio sii huu deal with Swat hizo mali ziki land tuzikinde Bado sii huu run tings loaded heavy tings boarded tuki Land wanatii Tuna go hard hizi streets bado wao see Mad city 3560 kwa scene mad city utanipata niko in To the world bado buda sii husema wata gwan Wahi wahi kama imedai cheki wahi wahi Wazing wako on nama gyaldem wame vai Kwa streets tuko on usi mess E side Na still mi ni top ranked hizi bado side Full time joh kwa game kuna kimbizaga time Nama mbling tuko set cheki set skia fine Sini G's huku East North South West side
Writer(s): Boniface Mwangi Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out