Lyrics

Machozi mashavuni yalitiririka, maumivu tele moyoni Sikujua ka yatafutika, ni wewe Umekuja kuniokota tena ni wewe heiya ah Nilipotoka hakujali moyo wangu Nilipotoka alichezea akili yangu Nilipotoka hakujali hisia zangu Nilipotoka niliumia peke yangu Lakini Umefuta wee maumivu, umeponya wee maumivu Mi kwako wewe Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love Mi kwako wewe Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love My baby leave that all up in the past girl Issa new leaf, new lovin', new world I give you mo kisses, mo touches indoors And we stay lowkey cause of the evil eye girl Unalinda moyo wangu we Chandarua Nikikuona moyo unapasuka Uwe bustani wangu girl na maua Wanimulika moyo zaidi ya jua Baby Sitaki mapenzi na chakubimbi Ni mimi na wewe na wewe na mimi MahChi hii ni Chimah wa Mwana wa Kyambi Au Mrs.Tz, mnabisha na mi? Ah si kasema mwenywe Mechi hii mi ni bingwa Alipotoka hiyo ni draw Mpenzi tuimbe tucheze Tule hizi raha, mapenzi unkuwepacable Najua maumivu nimefuta Let me hold you girl Two step with my Queen all across the world It's international, I'm a natural I came to blow a kiss, while she sing the song Mi kwako wewe Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love Mi kwako wewe Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love Nimefall in love.
Writer(s): Jumbe Hamza Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out