Lyrics

Bwana wewe waweza Kufanya zaidi ya tuombavyo Tena wewe waweza Kutenda zaidi ya tuwazavyo Kadiri ya iyo nguvu Itendayo kazi ndani yangu Bwana wewe waweza Kufanya zaidi ya tuombavyo Tena wewe waweza Kutenda zaidi ya tuwazavyo Kadiri ya iyo nguvu Itendayo kazi ndani yangu Nguvu zote ni zako Mamlaka yote ni yako Nguvu zote ni zako Mamlaka yote ni yako Ukisema jambo hakuna wa kupinga Milele yote waweza Ukisema jambo hakuna wa kupinga Milele yote waweza Bwana wewe waweza Waweza waweza milele Bwana wewe waweza Waweza waweza milele Kwa imani Bwana Napokea mambo ya rohoni Kwa imani Bwana Nayaweza mambo yote Katika wewe Bwana Yesu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out