Credits

COMPOSITION & LYRICS
Kerby Mahasi Imbwana
Kerby Mahasi Imbwana
Songwriter

Lyrics

Kama ni wikendi, mi siongei na watu wengi Kama huelewi, unauliliza maswali mengi Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready Kama ni wikendi, mi siongei na watu wengi Kama huwelewi, unauliza maswali mengi Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready Sema tu kweli, yeah You ain't never heard nothing like this, it's very rare Sound so clean with a flow like this, it's barely fair Looking so clean in my jipe cuts, I'm a model, yeah But what can I say, I'm here Nime kuja kuwanasa, taking you out of space kama nasa Huu mwaka, tunakata ukurasa, tuko faster so wanacheza catch up Ita backup na wakuje na backup, nawasaka nawakata kama Saka Kama fracas, vile beat inachapa, na huwezi kunipata nikilala Na huwezi kunipata nikilala, kila siku unanipata nikihama On the move, umebaki kukitanda, tumetamba With the drip, kwenye maji kama mamba Big ship, vile tumetoa nanga Thick chick, vile ametoa haga This shit really couldn't go harder This shit really couldn't go harder, harder Kama ni wikendi, mi siongei na watu wengi Kama huelewi, unauliza maswali mengi Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready Kama ni wikendi, mi siongei na watu mengi Kama huelewi, unauliza maswali mengi Mi siwaweki, told you this time I'm coming in heavy Mi siwaweki, told you this time I'm coming in ready Tumekuja na kakitu for the summer Kipchoge, I'm a runner, stay tuned kuna vitu tumepanga Najipanga, they slumber, najibamba, they plunder Chiza chimi, stay humble, walifumble, kitambo Big cat kama tuko kwa jungle, big cash kama tuko kwa hustle Big crown kama niko kwa castle, big fish nawaona kama mussels Face time nawaona kama bumble, I take time with it, no counterfeit At the table mountain I ain't climbing it But I'm cold as ice, that's a climate shift Mistari nazipaint kama rangi, samahani, ulilala darasani Sio swali, striker ni nani, niko mbali, GPS can't find me Niko jaba, government can't find me Speak Power, none of them can mime me Bila kamba, none of them can tie me Kama ni weekendi, misi ongei na watu wengi Kama huwelewi, unauliza maswali mengi Misi waweki, told you this time I'm coming in heavy Misi waweki, told you this time I'm coming in ready Kama ni weekendi, misi ongei na watu wengi Kama huwelewi, unauliza maswali mengi Misi waweki, told you this time I'm coming in heavy Misi waweki, told you this time I'm coming in ready
Writer(s): Kerby Imbwana Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out