Lyrics

Sala zangu lyrics (Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu Unisikie bwana, unikaribie leo)×2 Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu Nilipokuwa kwenye shida ulinikumbuka bwana Dunia iliponigeuka ukawa upande wangu Niliposhindwa na maisha ulikuwa upande wangu Dunia iliponigeuka ukawa upande wangu Maombi yangu yote bwana naleta mbele zako Na sala zangu zote natoa mbele zako (Unisikie bwana unikaribie leo Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu)×2 Dunia yote ni yako bwana Wewe ndiwe muumbaji Tukimbie wapi kama wanadamu tuepuke Mauti Ndipo nainua macho kuelekea bwana Msaada wangu wote leo watoka mbele zako Maombi yangu yote naleta mbele zako Na sala zangu zote naleta mbele zako (Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu) ×2 Unisikie bwana, unikaribie Leo Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu Unisikie bwana unikaribie Leo Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu Unisikie bwana unikaribie leo Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu (Miguuni pake yesu Mimi nimejiachia Nifundishe nifinyange Kama vile upendavyo)×2 Unisikie bwana unikaribie leo Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu Unisikie bwana unikaribie leo Sala zangu zote naelekeza kwako e Mungu wangu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out