Lyrics

1 Mbele ninaendelea ninazidi kutembea Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe Mbele ninaendelea ninazidi kutembea Maombi uyasikie eeh bwana unipandishe Ee bwana uniinue, kwa imani nisimame, Nipande milima yote ee bwana unipandshe2 2. Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe Hapo wengi wanakaa kuendelea naomba Nisikae duniani ni mahali pa shetani Natazamia mbinguni nitafika kwa imani Repeat chorus 3 Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu Nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe Repeat chorus
Writer(s): Sarah Kiarie, Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out