Lyrics

(Dddj Gibbzy) Weh Yeah Gibbzy Uh She wanna get freaky amependezwa na cologne Nitamuinvite juu mi hukuwa na form I'm feeling kinda of tipsy meditation niko zone Na aki decline siezi enda home alone Wanani fuata fuata nika noko on parole But wakinipa role siezi kosa kuperform Wakitaka ziwake ofcourse nitaroll Wakitaka tukate ofcourse mi huball Alafu metchi kwa uwa wa wa wa wanja Nduru ka ni ra ra ra ra raptcha Moment nita ka ka ka ka kapture Til aseme wa wa wa wa watcha Ata rudi home na fra fra fra fra fracture Ju vile nimecha cha cha cha chapa Gibbzy anaharibu stra stra stra stra structure Na ye ni manufa fa fa fa fa facture Anataka this anataka that Yani at ease alafu alert Haogopi kuwa teased Haezi get hurt Na niki squeeze anaifeel kwa heart Anataka this anataka that Yani at ease alafu alert Haogopi kuwa teased Haezi get hurt Na niki squeeze anaifeel kwa heart Eti Hataki kuwa apart asha get attached Feelings ame catch anadhani hi ni match Ananita king hmm miss me with that (Please) Mi siezi simp nilimtoanga bash Ideas zime clash juu ya transforma Anapenda miti huyu nishamsoma Atapigwa sticki ajipate kwa koma Alafu nim trace nione ka amepona You know what it is kubadilisha ni must Nawapigiwa dust Wanabaki waki curse Nilikuwa wa last sahii mimi ndio first Na akileta fuss mi hukumbusha that Ata rudi home na fra fra fra fra fracture Ju vile nimecha cha cha cha chapa Gibbzy anaharibu stra stra stra stra structure Na ye ni manufa fa fa fa fa facture Anataka this anataka that Yani at ease alafu alert Haogopi kuwa teased Haezi get hurt Na niki squeeze anaifeel kwa heart Anataka this anataka that Yani at ease alafu alert Haogopi kuwa teased Haezi get hurt Na niki squeeze anaifeel kwa heart Metchi kwa uwa wa wa wa wanja Nduru ka ni ra ra ra ra raptcha Moment nita ka ka ka ka kapture Til aseme wa wa wa wa watcha Ata rudi home na fra fra fra fra fracture Ju vile nimecha cha cha cha chapa Gibbzy anaharibu stra stra stra stra structure Na ye ni manufa fa fa fa fa facture
Writer(s): Naguib Nathoo Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out