Lyrics

Hey! Hey! Hey ee! (Fresh) Nipishe ni move move move move nipite man Ama nipite wewe kama kimbunga nisepe nawe Kamata karatasi ongeza more na more Budah natafuta boda ukiona nanyooka vichakani Move move Juu juu Move move Juu juu Move move Juu juu, move Budah natafuta boda ukiona nanyooka vichakani Ukweli ni kwamba siwezi kusita Siwezi kuacha ipite iyo hela(hela) Toka kitambo nafanya hizi mishe Na kama haina dili naipiga calenda(huh) Mkono una rado nawaza tu mida I picked a side nkachagua kuwa winner Sitoshi kwa balance badili mizani(switch) Huoni kuwa nigga nazidi kuwa bigger Nalenga shaba hata ka nabahatisha(wow) Navuta picha hapana adui wa kunitisha Najiona ka steven seagal(puh puh) Uncle kataka niache kufanya huu mziki Anadai hii njia haina uhakika (jyeah) Uncle kadata alivyonsikia kwa spika Ngoma ikipigwa anatingisha kichwa Naulizwa what im upto? Nacheza na anga najiona wa blue(blue) Mboni ina focus ka macho ya kichina Nikwepe mawe mahater wame threw Ziba kwa juu napita kwa chini Ukiziba kwa chini nishapenya through I took the loss ili nirudi round two Natufuna hii game na naitema like pytu pytu pytuu!! Nipishe ni move move move move nipite man Ama nipite wewe kama kimbunga nisepe nawe (khii!) Kamata karatasi ongeza more na more (dough) Budah natafuta boda ukiona nanyooka vichakani Move move Juu juu Move(lemmi go) move Juu juuu Move move Juu juu, move Budah natafuta boda ukiona nanyooka vichakani(haah!) Move move Juu juu Move(bunta)(kyea! kyea!) move Juu juu(gimmie that) Move(bunta)move Juu juu, move (twende twende) Budah natafuta boda ukiona nanyooka vichakani Yay caution (caution) Nishachanganya mazaga ka navyochanganya cocktail (ay) 'Ngeweza kufanya easy ila nachokikosa ni patience(weh) AKA punda ukinisogelea nyuma utakumbwa na teke (Damn right) Its a new wave weka dundo down uone nivyoball ay! Ona nina dribble kama messi Ona nina dribble ka messi Nina share kubwa kwenye keki fanya umuombe Mungu awe na mercy(mercy) Nina upendo kwa these niggaz ila huh huh I dont play with these niggaz(nigga) 260 speed mpaka kero Unaeza niita dominic toretto(vuum!) Ondoa kuta kabla sijasababisha upenyo Nashauri uni-(huh!) epuke kama pepo(baow baow baow) Ongeza chapter kwenye page kila hatua dua Nazidi ongeza pace(bless) Chini ya crown everyday Niggaz wananiita king, funga case (King)
Writer(s): Derick Obeid Lyrics powered by www.musixmatch.com
Get up to 2 months free of Apple Music
instagramSharePathic_arrow_out