Lyrics

Si kuna mungu mungu wa watu Hutuweka pamoja Huyu ni Dugu yule ni rafiki Zote tu kitu kimoja Huwe mwisiraeli uwe kabila la Juda Mumba wetu mmoja Sisi tuliumbwa na mungu Kuishi kwetu ni mungu Na uzima huu ni mungu Waishi vipi vipi Na watu wako wa mtaani Hapa duniani utu kwa watu Juu yake twaona upendo Salimia watu salimia watu Utu ni utu ongea na watu Hujui ya kesho Salimia watu Utu ni utu waheshimu watu Pesa huisha salimia watu Utu ni utu ongea na watu Ndio watakushika kesho Salimia watu Utu ni utu ongea watu Hakuna jambo lisilo mwisho Hata kwalo tujivune Inchi ni uhai vitu na Mali Hivi vyote ni vya mungu Dunia hii iko vita Na njia yetu ni mmoja Kuna kifo na huzima Je! unatenda ya mungu Unatimiza ya mungu Wamtegemea mungu Kwa wema wenu Hawa watu twawa na Upendo upendo wa Mungu Anatupenda hutuwazia mema Kila siku
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out