Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Izzo Bizness
Izzo Bizness
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Emmanuel Simwinga
Emmanuel Simwinga
Songwriter

Lyrics

Here they talk, let 'em talk girl Now what they talk? Here they talk, let 'em talk girl Now what they talk? Here they talk, let 'em talk girl Now what they talk? Here they talk, let 'em talk girl Ah haa Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh) Baby love me (I love you baby, I love ya!) Mapenzi hatujaanza juzi, long time niko nawe Naomba radhi nikikuudhi, nahisi nimeumbwa na wewe We barafu wa moyo wangu, acha leo niweke wazi Labda shahidi yangu Mungu, nikiwatoa wazazi Nakumbuka toka shule, enzi za sekondari Baby ulikuwa pale, we ulionyesha kunijali You're the one in a million, naapa kwa jina langu Ah Jose Chameleone, 'Sina var Luvalu baby' Tangu Izzo naitwa Imma, we ulikuepo ulisimama Matatizo yalituandama, we hukuchoka ulipambana We ndo maana ya mapenzi, mapenzi yanakuogopa Hawa vicheche ni washenzi, hawajui wanachotaka Ntakujali na kukuheshimu, acha woga mi bwana ako Ya kwetu jukumu letu, hayawahusu shoga zako We ndo Alicia, mi ndo Swizz, tupa mbali Jay Z, Beyonce Shaa ndo keys, MJ beats, anayebisha shauri yake Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh) Baby love me (I love you baby, I love ya!) Kama ku-cheat, nisha-cheat sikufichi honey Nisamehe yo my sweet honey, ni pepo sio mi Ruksa kamba we nifunge, nishatua hapa We ni jimbo nami mbunge, nishatua hapa Mapenzi moto moto mpaka joto linaona wivu Nikuite nani, ama mtoto? Leo baby naomba kavu We mtamu kushinda asali, hakyamungu utaniua Acha waseme mi sijali, haki ya Mungu utaniuaa Acha basi nikusifie, sifa ulizonazo Ila baby usijisikie, ikawa kama chanzo Guu lako sio la bia, baby guu la champagne Leo wazi nakuambia, hey you got that thing Midomo wet sio mikavu, ona wanaona wivu Umejazika si sana, maana sana inaboa Hasa kwa sisi waungwana, sana inaboa Macho na hizo hips ndo nakufa kabisa Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh) Baby love me (I love you baby, I love ya!) (I love ya) I love you baby, I love ya (I love ya) I love you baby, I love ya (I love ya) I love you baby (baby), I love ya (I love ya) Ah ah I love ya (I love ya) I love you baby, I love ya (I love ya) I love you baby, I love ya (I love ya) I love you baby (baby), I love ya (I love ya) Ah ah I loving ya Kama kijana, nilishafanya vitu vyote pia nikamaliza Na mwisho wa siku, akili yangu kwake kabisa ikagota Please don't judge me (don't judge baby, don't judge baby eh) Baby love me (I love you baby, I love ya!) Yeah! Hii special kwako baby, au sio? You're the one and only Yo miss Bizz. miss Bizness, baby Hahah I love you, baby aah
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out