Top Songs By Billnass
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Billnass
Performer
COMPOSITION & LYRICS
William Nicholaus Lyimo
Composer
Lyrics
S2kizzy baby
Nitaomba mabawa nipae
Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita
Neema na baraka zitufae
Baraka zitufae
Kutoka kwa Malaika
Honey, mi nadhalilika
Yaani ulivyonishika
Aah, honey, mi nadhalilika
Yaani ulivyonishika
Mamaa, mama, mama ake
Ntakupenda kesho nakupenda today
Bado nahangaika natafuta niombee
Mwenzako mi na wivu
Na sitaki tushare
Mamaa, mamaa, mama ake
Ntakupenda kesho nakupenda today
Bado nahangaika natafuta niombee
Mwenzako mi na wivu
Na sitaki tushare
Kwenye mamilioni kwangu we namba one (one-oh)
Watayasema yote na bado hatuachani (chani-oh)
Hata wakiniona zoba as long as uko nami
Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani
Hata wakiniona zoba (zoba) as long as uko nami
Wakisema unaniroga (roga) waambie unanirogea chumbani
Ooh, na-na-na
Nitaomba mabawa nipae
Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita
Neema na baraka zitufae
Baraka zitufae
Kutoka kwa Malaika
Honey, mi nadhalilika
Yaani ulivyonishika
Ooh, honey, mi nadhalilika
Yaani ulivyonishika
Ah, kwa hizi raha unazonipa mpaka naishiwa maneno
Nampenda mama nampenda baba na wewe ukiwemo
Penzi wakishika nakata
Nakata kama msumeno
Sali tuzeeke wote mpaka tung'ooke meno
Na akili zaniruka likitajwa lako jina
Sio siri nawehuka
Ubaridi mwili mzima
Kwenye mamilioni kwangu we namba one (one-oh)
Watayasema yote na bado hatuachani (chani-oh)
Hata wakiniona zoba as long as uko nami
Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani
Hata wakiniona zoba (zoba) as long as uko nami
Wakisema unaniroga (roga) waambie unanirogea chumbani
Ooh, na-na-na
Nitaomba mabawa nipae
Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita
Neema na baraka zitufae
Baraka zitufae
Kutoka kwa Malaika
Honey, mi nadhalilika
Yaani ulivyonishika (dhalilika)
Oh, honey, mi nadhalilika (mi nadhililika)
Yaani ulivyonishika
Ooh
Kamix Lizer
Lyrics powered by www.musixmatch.com