Lyrics

Mr LG Nilipanga nitapenda nikifika miaka 20 Hivi sasa 18 sijui nimepatwa nini Kuna mtu nampenda lakini sijiamini Sio kama najua sana kwamba mapenzi ni nini Sikupanga kuingia kwenye maupendo Ananitoa kwenye malengo Vitu vyake navutiwa kila engo Oh mimi Haya mapenzi dhahabu Tafadhali kweli moyo wangu Haya mapenzi yangu dhahabu Bado najiuliza kama ana hisi Nnavyo hisi Ila najua kua hivyo sio rahisi Nikaitiwa police Nikaumbuka nikachukia mapenzi Penzi oooh penzi oooh Usiniumbue mwenzio Nikaanza na kilio Eti ndo kiinglio Ananitoa kwenye malengo Sikupanga kuingia kwenye maupendo Ananitoa kwenye malengo Oh mimi Tafadhali (we tafa) moyo wangu (we moyo) Haya mapenzi dhahabu (tafa we)
Writer(s): Sharif Saidi Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out